• 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 38
by makoba
Mon Aug 21, 2017 4:26 pm
Forum: Celebrities Forum
Topic: MKWARA WA ‘INSTA’ UTAVUNJA UKIMYA WA KIBA?
Replies: 0
Views: 31

MKWARA WA ‘INSTA’ UTAVUNJA UKIMYA WA KIBA?

[attachment=0]alikiba.jpg[/attachment] MWAKA 2007, kijana Ali Salehe Kiba alitikisa kwa mara ya kwanza nafsi za wapenzi wa muziki wa kizazi kipya. Ni mwaka huo, jamii ilimfahamu na kumuweka katika orodha ya wanamuziki wenye uwezo wa juu. Taratibu jina la Ali Salehe  likafutika. Pakachipuka jina jip...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 4:22 pm
Forum: Jamvi La Wabobezi
Topic: SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (11)
Replies: 0
Views: 4

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (11)

Tulikuwa katika mikono ya wanyang’anyi. Walikwisha tuamuru tushuke chini na tulitii kwa kuzihofia roho zetu kuondolewa na zile bunduki za majambazi. “Haya, hatua ya kwanza weka simu katika mfuko. Ukikaidi utakiona cha mtema kuni!” aliamrisha jambazi mmojawapo. Kijana aliyebeba mfuko akaanza kukusan...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 1:31 pm
Forum: Sports
Topic: Simba SC Warejea Dar ‘Kuimaliza’ Yanga SC
Replies: 0
Views: 1

Simba SC Warejea Dar ‘Kuimaliza’ Yanga SC

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/simba-1-001.jpg Kotei akisalimiana na mashabiki wa Simba baada ya kuwasili. Kikosi cha Klabu ya Simba kimemaliza kambi ambayo ilikuwa imewekwa kisiwani Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Yanga katika Ngao ya Jami...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 1:29 pm
Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Topic: UKIMSOMESHA MPENZI ILI MUOANE, TEGEMEA HAYA!
Replies: 0
Views: 1

UKIMSOMESHA MPENZI ILI MUOANE, TEGEMEA HAYA!

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/xukimsomesha-mpenzi.jpg.pagespeed.ic.kmf0tC5Gz6.jpg   JENGA tabia ya kumshukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yako, liwe baya au jema. Wakati mwingine kuna mambo unakutana nayo kwa ajili ya kukukomaza, kukufunza au kukuweka karibu na Mu...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 1:27 pm
Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Topic: MACHO YOTE SASA NYUMBA
Replies: 0
Views: 2

MACHO YOTE SASA NYUMBA

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/shinda-nyumba-3-1.jpg Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia) akimkabidhi funguo Mshindi wa Nyumba, Nelly Mwangosi. WAKATI siku za kuchezeshwa kwa droo kubwa katika Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikat...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 1:25 pm
Forum: Entertainment
Topic: SOKABET… Mayweather Ataingiza Mabilioni, Wewe Ingiza Mamilioni
Replies: 0
Views: 1

SOKABET… Mayweather Ataingiza Mabilioni, Wewe Ingiza Mamilioni

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/mayweather.jpg.pagespeed.ce.uVCv6DYu0l.jpg Floyd Mayweather Jr. WATU wa burudani wanamfahamu vizuri Floyd Mayweather Jr, kwani mbali na kuwa ni bondia maarufu, upande wa pili ni staa mkubwa ambaye anapenda maisha ya ‘kula bata’. Mayweather n...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 1:23 pm
Forum: Sports
Topic: Tambwe: Nimemisi Kuifunga Simba
Replies: 0
Views: 1

Tambwe: Nimemisi Kuifunga Simba

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe , amesema kuwa endapo atapata nafasi ya kuanza katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Jumatano hii dhidi ya Simba, anataka kuandika rekodi nyingine. Akizungumza na Championi Jumatatu, Tambwe alisema kuwa ana hamu kubwa sana ya kuona akizifumania nya...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 1:22 pm
Forum: Sports
Topic: Dk 45 za Tshishimbi Noma Sana
Replies: 0
Views: 1

Dk 45 za Tshishimbi Noma Sana

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/Tshishimbi-2.jpg.pagespeed.ce.rXw_LNrBNh.jpg Papy Kabamba Tshishimbi. YANGA jana ilianza kufaidi uwezo wa kiungo wao mpya, Papy Kabamba Tshishimbi baada ya kumshuhudia kwenye mchezo wa kirafiki baina ya timu hiyo dhidi ya Jamhuri ya Pemba , ...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 1:20 pm
Forum: Celebrities Forum
Topic: VITA KUU YA MTOTO, MOBETO KICHEKO, ZARI KILIO
Replies: 0
Views: 1

VITA KUU YA MTOTO, MOBETO KICHEKO, ZARI KILIO

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/03/xDai-zari.png.pagespeed.ic.mkGUvJYvpX.jpg Zari ‘The Boss Lady.’ HALI si shwari kati ya mwanamitindo matata wa Bongo, Hamisa Hassan Mobet o na mwanamama mjasiriamali wa Afrika Mashariki ambaye ni mzazi mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, Zarinah...
by makoba
Mon Aug 21, 2017 1:17 pm
Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Topic: Serikali Yaamua Kuzipiga Mnada Mali za Lugumi
Replies: 0
Views: 1

Serikali Yaamua Kuzipiga Mnada Mali za Lugumi

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/xpiclugumi.gif.pagespeed.ic.MWhvE3W6VR.jpg Moja ya nyumba ya Lugumi. Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd iliyotajwa katika sakata la zabuni ya Sh34 bilioni ya kuweka mashine za kielektroniki za kuchukua alama za vidole ya Jeshi la Polisi, iko ...
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 38